Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Alichokisema Willy Paul kuhusu bifu lake na Bahati (+video)

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Willy Paul Msafi amefunguka kuhusu bifu lake na msanii mwenzake Bahati ambao wanadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri. Pia Willy ameeleza kuhusu mipango ya kufanya kazi na msanii mwenzake huyo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW