Burudani

Alicia Keys ameachia list ya nyimbo zinazopatikana kwenye album yake, moja akimshirikisha Diamond Platnumz (+ Audio)

Msanii uigizaji kutoka nchini Marekani Alicia Augello Cook alimaarufu Alicia Keys, ameachia Rasmi orodha ya Nyimbo ambazo zitapatikana kwenye Album yake ya ALICIA ambayo anatarajia kuiachia mnamo September 18 mwaka huu.

Album yake hiyo yenye Jumla ya Ngoma 15  akiwa ameswashirikisha wasanii tofautitofauti akiwemo msanii kutoka Tanzanioa Diamond Platnumz.

Ukiingia kwenye orodha hiyo Jina la Diamond Platnumz utalikuta katika wimbo Namba 4 #WastedEnergy  Diamond amekuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuwepo kwenye album ya Alicia Augello Cook

Faida mojawapo kubwa ya Diamond kuwepo kwenye Album hii ya Alicia Augello Cook endapo itafanya vizuri huenda tukaona msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuwepo kwenye ‘nominated’ za Tuzo kubwa kama Grammy na nyinginezo.

Kwa upande wa Alicia Augello Cook hii Album yake nambari 13 na ndio Album ya Kwanza ndani ya Miaka 3 , tangu alivyoachia Album yake ya Mwisho “Dirty Dancing 2” Mwaka 2017 .

Mbali na hilo Alicia Augello Cook alitaja orodha ya ngoma ya ngoma anazozisikiliza kutoka kwa msanii Diamond alitaja mbili ambazo ni African Beauty ambayo Diamond alishirikiana na Omarion kutoka Marekani pamoja na Nana ambayo Diamond alimshirikisha msanii kutoka Nigeria Mr Flavour.

https://www.instagram.com/p/CFNybwXAb-a/

https://www.youtube.com/watch?v=zLvd8u-sQHs

https://www.youtube.com/watch?v=EZdtR8jVd4c

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents