Burudani

Alikiba aandika historia Muscat, Oman (Video)

Msanii wa muziki, Alikiba Ijumaa hii amefanya show ya nguvu huko Muscat, Oman na kupokewa na maelfu ya watu.

https://www.instagram.com/p/Btp8wzjBy1s/



Hii ni show ya kwanza kubwa ya muimbaji huyo kwa mwaka 2019 baada ya ile aliyofanya nchini Kenya.

https://www.instagram.com/p/Btp-veDhITD/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents