Michezo

Alikiba aeleza alivyojisikia baada ya kufunga goli lake la kwanza,alifananisha na goli la Pirlo (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mchezaji wa timu ya Coastal Union ya mkoani Tanga Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba amefunguka mwanzo mwisho baada ya kufunga goli lake la kwanza Coastal Unio.

Kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 mchezaji huyo ameweka wazi hisia zake na kusema ” Alifurahi sana baada ya kufunga goli hilo na kusema analifananisha goli lake na la mchezaji wa Italia Adrea Pirlo”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents