Burudani ya Michezo Live

Alikiba aeleza haya kuhusu kuvaa mavazi ya dini ya Kiislamu akiwa anacheza au kuimba muziki – Video

Alikiba aeleza haya kuhusu kuvaa mavazi ya dini ya Kiislamu akiwa anacheza au kuimba muziki - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba alimaarufu Ali Kiba amefunguka kuhusu baadhi ya malalamiko anayoendelea kuyapata kuytoka kwa amshabiki wake kuhusu kuonekana kucheza muziki au kuimb ahuku akiwa amevalia nguo za dini ya kiislamu yaani Kofia na Kanzu.

Akiongea na Bongo5 Alikiba aleeleza haya:-

Killy wa kings music ataja nyimbo bora kwa mwaka 2019, “Alikiba anatulea kama wadogo zake “

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW