Mahojiano

Alikiba afunguka “watu wanatukana bila kuogopa, wanafikia hadi hatua ya kuvunja ndoa za watu” – Video

Alikiba afunguka "watu wanatukana bila kuogopa, wanafikia hadi hatua ya kuvunja ndoa za watu" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba alimaarufu Ali Kiba amefunguka na kuonyesha kuumizwa na watu wanaotumia mitandao ya kijamii vibaya hadi kufikia hatu ya kuvunja ndoa za watu.

Akiongea na bongo5 Alisema kuwa watu wanatumia vibaya mitandao sijui hawa kazi au vipi.

Msikilize Kiba:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents