Burudani

Alikiba aizungumzia picha yake aliyepiga na mnyama Simba iliyo trend (+Audio)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords @officialalikiba amefunguka na kueleza kushangazwa na picha yake aliyopiga na mnyama Simba ku-trend kwenye mitandao msikilize akifunguka zaidi.

Akiongea katika kipindi cha LeoTena kinachoruka katika kituo cha CloudsFm @officialalikiba amezungumza haya:-

https://www.instagram.com/p/CGCjhJOB5cI/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents