Burudani

Alikiba aombewa kolabo kwa Davido

By  | 

Shabiki mmoja wa Alikiba ameamua kujitosa kumuombea kolabo msanii huyo kwa hitmaker wa ‘Fall’, Davido kutoka Nigeria.

Shabiki huyo ambaye anatumia jina la peter_allyson kwenye mtandao wa Instagram, amecomment kwenye picha ya Davido hiyo hapo chini kwa kuandika, “Plz plz broe do collaboration with alikiba plz plz plz plz plz plz plz plz is me tz boy.”

Ni mara kadhaa mashabiki wa Kiba wamekuwa na mchango mkubwa katika muziki wa msanii huyo hivyo sio ajabu kwa shabiki kama huyo kutupa karata yake ya mawazo kwa Davido.

Wawili hao wote wapo chini ya usimamizi wa Sony Music japo Davido anasimamiwa na Sony Music International na Alikiba yupo chini ya Sony Music Africa.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments