Alikiba arudi kivingine aachia wimbo mpya ‘MEDIOCRE’ Je hili ni dongo ? (+ Audio)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa @kingsmusicrecords @officialalikiba ameachia AUDIO ya ngoma yake mpya ‘MEDIOCRE ‘

Kuusikiliza wimbo huu wote bio ipo kwenye akaunti yake ya Youtube ya Kings music, ,Unampa asilimia ngapi kwa dude hili na una maoni gani….?

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW