Soka saa 24!

Alikiba ashirikishwa kwenye album ya ‘Chulo Vibes’ ya msanii Timaya kutoka Nigeria

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametokea kwenye album fupi ‘EP’ ya msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Timaya.

EP hiyo ina ngoma 9 na inatarajiwa kuachiwa leo Februari 8, 2019 kwenye platform mbalimbali mtandaoni.

Wasanii wengine wakubwa walioshirikishwa kwenye album hiyo, ni Burna Boy .

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW