Burudani

Alikiba atangaza habari njema kwa mashabiki wake

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa Rockstar pia kiongozi wa Kings Music Lebo, Ali Salehe Kiba alimaarufu Alikiba ametangaza balaa ukifika muda wa Saa 12 jioni hii. Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikiba ameandika maneno haya :-

“Exclusive!!!!! My brand new song #KADOGO premiers on YouTube kuanzia saa 12 jioni kwa saa Afrika Mashariki.

Go & subscribe to my official YouTube channel na uwe wa kwanza kuangalia video yangu ya kufungia mwaka 2018.
#KADOGO
#FungaMwakaNaAlikiba
#MofayaByAlikiba
#KingKiba”

Licha ya siku ya jana kuachia wimbo alioshirikishwa na msanii kutoka katika kundi lake la Kings Music Cheed akishirikishwa pia msanii kutoka Kings Music K-2ga, unaojulikana kama ” Masozy” na kuahidi kuachia nyimbo jana hiyo lakini nahisi hakuona kama ni muda mzuri wa kuachia nyimbo mbili kwa wakati mmoja.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents