Burudani

Alikiba atangaza kuachia nyimbo mbili siku ya funga mwaka na King Kiba, pia atoa tarehe mpya ya show yake na Yvonne Chaka

Msanii wa muziki wa kizazi Ally Salehe Kiba a.k.a Alikiba atangaza balaa la kuachia ngoma zake mbili za kufungia mwaka siku ya Funga mwaka na King Kiba ambayo show hiyo itafanyika kwenye ukumbi wa Next Door Arena.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo amesema kuwa ataawachia mashabiki zake nyimbo za kufungia mwaka huku akisogeza mbele tarehe ya show yake ambayo alitarajia kuifanya tarehe 22/12/2018, ambayo ingefanyika katika ukumbi ulioko katika hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam.

 

Hayo ndio maneno ya Alikiba.

By Ally Juma.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents