Burudani

Alikiba atoa ratiba ya ziara yake ya Ulaya mwaka huu

Afrika Kusini ni mwezi ujao, Marekani ni March na April na sasa Ulaya nao wamepewa ratiba ya ziara ya Alikiba mwaka huu.

Kama tulivyoripoti Jumatatu hii kwamba mwaka huu Ali ameamua kuzichukua fedha zake, na sasa ametangaza ratiba ya awali ya ziara yake ya kimataifa barani Ulaya.

Nchi zenye bahati hiyo hadi sasa ni Ufaransa, Ujerumani, Ubelgiji, Switzerland, Sweden na Uholanzi na ataanza kuzunguka huko June na July.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents