Videos

Alikiba atoa video ya wimbo wa funga mwaka ‘Kadogo’ (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Salehe Kiba alimaarufu Alikiba ameachia video ya ngoma yake mpya ya Kadogo, baada ya kuachiwa kwa nyimbo aliyoshirikishwa na msanii mwingine kutoka katika kundi lake la Kings music Cheed ambaye pia amemshirikisha msanii mwingine wa Kings music K-2ga.

Wimbo huu wa ‘Kadogo’ umefanywa na Director Kevin Bosco Jr.

by Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents