Burudani

Alikiba awakanya waigizaji na wasanii wa muziki, Awataka wakumbuke jambo hili muhimu (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amewaasa wasanii wenzake wa muziki na Waigizaji wa filamu kumkumbuka mwenyezi Mungu kwani hakuna binadamu anayejua siku wala dakika ya kifo chake.

Alikiba ameyasema hayo leo Aprili 22, 2018 kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam wakati akitoa hotuba yake fupi katika sherehe za kuuaga mwili wa Muigizaji wa filamu na Video Vixen, Agness Gerald Masogange.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents