Aisee DSTV!

Alikiba awaonjesha mashabiki wake kionjo cha ngoma yao nyingine akiwa na Kingsmusic (+Video)

Alikiba awaonjesha mashabiki wake kionjo cha ngoma yao nyingine akiwa na Kingsmusic (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alikiba ameweza kuwaonjesha kionjo mashabiki wa lebo ya Kingsmusic ambacho amekipost kwenye akaunti yake ya Instagram. Kundi hilo la muziki kwa sasa linatamba na kibao chao cha ‘Mwambie sina’ ambacho walikiachia mwezi mmoja uliopita wakishirikiana na wsanii wote wa kundi hilo watano ambao ni Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba.

Kionjo hicho hicho cha ngoma hiyo mpya bado hakijatambulika jina lake, ili inaonesha muda sio mrefu watakiachia;-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW