Burudani

Alikiba aweka wazi, kampeni yao na Samatta ya NIFUATE kuhitimishwa leo Mbagala

Kampeni ya iliyoanzishwa na msanii wa muziki wa Bongo fleva pia akiwa mshambuliaji wa klabu ya Coastal Union ya Tanga, Alikiba akishirikiana na mchezaji wa mpira wa miguu kutoka katika klabu ya Genk ya Ubelgiji na timu ya taifa ya Tanzania Mbwa Ally Samatta kuhitimishwa leo.

Kampni hiyo iliyoanzishwa mwaka huu 2018 na mastaa hao wawili ya kusaidia elimu nchini Tanzania wakianza na shule walizosoma Alikiba na Samatta leo itahitimishwa katika shule ya msingi Mbagala rangi 3.

Kampeni hiyo ambayo iliendeshwa kwa mastaa hawa kuamua kuchangia kwa kucheza mechi katika uwanja wa taifa wakisaidiana na wachezaji wengine ambayo mechi hiyo ilimalizika kwa timu ya Samatta kushinda kwa jumla ya goli 3-1 waliahidi kuzisaidia shule kwa kupeleka vifaa ambavyo vinaupungufu katika shule hizo.

Akiongea hayo kupitia ukurasa wake wa Intagram Alikiba amesema hivi:-

” Siku ya Leo tarehe 15 tunatarajia kumaliza zoezi la ugawaji wa vifaa katika shule ya msingi rangi 3, kama tulivyo ahidi mimi Na @samagoal77 kuazia saa sita Na nusu mpka saa saba na nusu
#mofayabyalikiba
#SupportedByKiba
#KingKiba “

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents