Burudani

Alikiba azungumza kuhusu Harmonize kumfollow Instagram na sababu ya kutosalimiana nae – Video

Alikiba azungumza kuhusu Harmonize kumfollow Instagram na sababu ya kutosalimiana nae - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba alimaarufu Ali Kiba amefunguka kuhusu baadhi ya maswali ambayo watu walikuwa wanajiuliza sana kwenye mitandao ya kijamii pia kuonekana hayuko sawa na baadhi ya wasanii.
akiongea katika kipindi cha Playlist kinachoruka TimesFm na lkuulizwa maswali mengi hasa kuhusu msanii aliyokuwa WCB Harmonize kuhusu kumfollow huku yeye hajamfollow lakini pia kuna siku walikutana na walionekana kutosalimiana nae, Alikiba amefunguka haya:-

https://www.instagram.com/p/B5Foh88hoeE/

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents