Habari

Alikiba, Diamond Platnumz na wasanii wengine ndani ya mkutano wa CCM Dodoma (+Video)

Moja kwa moja kutoka DODOMA katika Ukumbi wa Kikwete makao makuu ya nchi ambako kunafanyika mkutano wa kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgombea Urais tena kwa tiketi ya CCM. Wasanii kutoka lebo ya WCB akiwemo @mbosso_ @queendarleen_ @officialzuchu @iamlavalava @diamondplatnumz @rayvanny @babutale

https://www.instagram.com/p/CCfnWkfBZRA/

Moja kwa moja kutoka DODOMA katika Ukumbi wa Kikwete makao makuu ya nchi ambako kunafanyika mkutano wa kumpitisha Rais Magufuli kuwa mgombea Urais tena kwa tiketi ya CCM.

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva CEO wa @kingsmusicrecords @officialalikiba akiwa na @marioo_tz na @billnass wakiwa ndani ya ukumbi kufuatilia kinachoendelea.

https://www.instagram.com/p/CCfniSLhgdW/

https://www.youtube.com/watch?v=whwwetWUM6M

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents