Burudani

Alikiba kutumbuiza Fiesta Dar, Kwa mara ya kwanza kufanyikia Uwanja wa Taifa

Tamasha la Fiesta 2019 limefikia ukingoni na linatarajiwa kufanyika Desemba 8, 2019 Jijini Dar Es Salaam.

Tamasha hilo kongwe kabisa la burudani Tanzania, Kwa mara ya kwanza litafanyika katika Uwanja wa Taifa hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waandaaji wa tamasha hilo Clouds Media.

Kuhusu idadi ya wasanii watakaotumbuiza bado haijatajwa na mpaka sasa ni Alikiba pekee aliyethibitisha kuwa atatumbuiza huku orodha nyingine ndefu ya wasanii ikitarajiwa kutangazwa kuanzia leo kupitia vipindi mbalimbali vya Clouds FM.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents