Tia Kitu. Pata Vituuz!

Alikiba na Samatta kuwakutanisha Morrison wa Yanga na Luis wa Simba “Nasikia huyo morrison anakanyaga mpira vipi huyo wa Simba” – Video

Alikiba na Samatta kuwakutanisha Morrison wa Yanga na Luis wa Simba "Nasikia huyo morrison anakanyaga mpira vipi huyo wa Simba" - Video

Wakati akizindua msimu wa tatu wa #NIFUATA iliyochini ya SAMAKIBA FOUNDATION @officialalikiba ameongelea kuhusu kufanyika kitofauti msimu huu huku akifafanua kuhusu swali aliloulizwa kwamba kuna wachezaji wanafanya vizuri Tanzania je watakuwepo katika mchezo huo?

Alikiba alianza kwa kutania akisema kuwa “Nasikia huyo Morrrison wa Yanga anakanyaga mpira je wa Simba naye anakanya mpira?? Mbali na hilo ameeleza kujipanga zaidi huku akiwashutumu @officialabdukibaa kuwa alimuangusha na pia kufanyiwa figisu na @samagoal77 na refa kwani zilifungwa goli za offside.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW