Tia Kitu. Pata Vituuz!

Alikiba na Samatta waizindua Samakiba “Watakuja wachezaji kutoka Ulaya, Mimi nampenda sana Ronaldo mtashangaa siku hiyo” – Video

Alikiba na Samatta waizindua Samakiba "Watakuja wachezaji kutoka Ulaya, Mimi nampenda sana Ronaldo mtashangaa siku hiyo" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amefunguka na kueleza kuwa yeye alikuwa shabiki mkubwa sana wa RONALDO DE LIMA kutoka Brazil na huenda akajumuishwa kwenye mchezo kati ya Team Kiba na Team Samatta.


Mbali na hilo @officialalikiba amesema kuwa siku hiyo ambayo mchezo huo utafanyika mwezi wa 6 kutakuwa na Suprise nyingi kwani haitaku mwezi mtukufu basi kutakuwa na mambo mengi huenda mpaka show za muziki zitafanyika.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW