Michezo

Alikiba: Nilimuomba Rais Magufuli kitu na anaweza kuwepo kwenye mchezo wetu na Samatta, anatukubali sana

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba leo an Samatta wamezindua rasmi mchezo wao na Samatta ikiwa ni muendelezo wa project yao ya Samakiba Foundation ambapo kila mwaka hucheza mchezo rasmi kwa ajili ya kuchangia sekta ya Elimu.

Wakizindua leo Alikiba amesema kuwa tayari wameanza kufanya kazi na wizara ya Elimu kutokana na juhudi zao za kuchangia sekta hiyo.

Mbali na hilo Alikiba amethibitisha kuwa aliongea na Mh. RaisĀ  Magufuli na huenda akawepo kwenye mchezo wao na Samatta ambao utachezwa tarehe 8/8/2020 uwanja wa Mkapa jijini Dar Es Salaam.

https://www.youtube.com/watch?v=AUBsTtpNjoE

https://www.youtube.com/watch?v=jcp8u4VTOYA

https://www.youtube.com/watch?v=Td7TzVO5Poo

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents