Michezo

Aliyekuwa kocha wa Man U, Van Gaal atangaza kustaafu

Aliyekuwa kocha wa Manchester United, Lous Van Gaal ametangaza kustaafu kufundisha mpira akiwa na umri wa miaka 65.

Kocha huyo raia wa Uholanzi, aliacha kuifundisha Man U mwaka 2016 ambapo alitamka mbele ya waandishi wa habari kwamba hiyo ndio itakuwa timu yake ya mwisho kuifundisha.

“I am a pensioner now. I have no ambition to be a technical director or a TV pundit,” Van Gaal told Dutch TV show VTBL.

“My wife Truus gave up her job for me 22 years ago, and followed me when I went abroad. I told her I would quit as a coach when I turned 55, but instead kept going until I was 65.

“She is entitled to have a life with me outside of football. I can say she is very happy. I think I could have worked as a technical director.

Ajax (1991-1997). · FC Barcelona (1997-2000 and 2002-2003). · Netherland (2000-2001/2012-2014). · Holland Sub20 (2001). · AZ Alkmaar (2005-2009). · Bayern (2009-2011). · Man Utd (2014-2016). – 899 games, 20 titles.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents