Burudani ya Michezo Live

Aliyekuwa mchezaji wa Man United na Real Madrid atua Tanzania kutalii, atumia maneno ya Kiswahili kukaribisha watu (+ Picha)

Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United na Real Madrid atua Tanzania kwa ajili ya kutalii, atumia maneno ya Kiswahili kukaribisha watu (+ Picha)

Ruud van Nistelrooy ameweka picha za wanyama mbalimbali katika ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter.


Van Nistelrooy ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya chini ya miaka 19 ya PSV Eindhoven ameonesha kushangazwa na uzuri wa Wanyama hao, amewakaribisha watu Tanzania.

Kabla ya kutundika daluga alizichezea timu za Den Bosch, Heerenveen, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid, Hamburger SV na Málaga.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW