Habari
Aliyekuwa Meya wa Kinondoni Benjamin Kawe Sitta achukua fomu ya Ubunge
Aliyekuwa Meya wa Kinondoni Benjamen Kawe Sitta amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Kawe.
https://www.instagram.com/tv/CCp6ae9BVzB/?igshid=1575runth6hx4
Sitta amesema alichokifanya ndani ya Manispaa ya Kinondoni ndicho kilichomsukuma kuomba ridhaa katika nafasi ya Ubunge.