Burudani

Aliyekuwa mpenzi wa Nay, ‘Siwema’ aonesha jeuri ya pesa kwa mkwara huu!

Aliyekuwa mpenzi wa rapper Nay wa Mitego, Siwema ameamua kuonesha jeuri ya pesa kwa kununua gari mpya ya kutembelea.

11111337_639693699499039_672081670_n
Mkoko mpya wa aliyekuwa mpenzi wa Nay

Siwema ambaye ni mama wa mtoto mmoja na Nay, kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare na mashabiki ndinga yake mpya ikiwa ni wiki tatu tu tangu waachane na rapper huyo.

11111353_1561029157485045_1674782135_n

“Thank u ZAMZAM MOTORS LTD…..kwakufanikisha hili…u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani,” ameandika Siwema kwenye picha hiyo.

Hivi karibuni Nay na Siwema waliachana na kurushiana maneno mtandaoni ambapo Siwema alidai kuwa mtoto aliyezaa si wa rapper huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents