Habari

Aliyekuwa Waziri Japan amwagia sifa Rais Magufuli

Aliyewahi kuwa Waziri wa Nje wa Japan Ichiro Aisawa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kwa kupambana na rushwa na msukumo mkubwa anaoutoa katika kuleta maendeleo.

Soma taarifa kamili:


Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents