Siasa

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Nassari CHADEMA, ajiunga CCM amshukuru Magufuli (+Video)

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kupitia CHADEMA amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM).

Nassari alivuliwa ubunge Machi 2019 kutokana na kutohudhuria mikutano mitatu ya bunge mfululizo bila ruhusa.“Sababu kubwa iliyonileta CCM ni kwa kuwa naipenda nchi yangu.,“Haikuwa kazi rahisi kufanya haya maamuzi ya kuja CCM, yale yote mnayotaka kuyasikia na kuyaona kutoka kwangu mtayasikia na kuyaona hata kama sio leo, sababu kubwa iliyonileta CCM ni kwakuwa naipenda Nchi yangu”

“Ukiongea habari ya Ndege wapingaji wanasema nani anapanda?, mbona wakati wa Mwl Nyerere hamkusema Mwl unatupa Ndege hatuna hela ya kupanda,leo tuna Ndege 11, ile moja USD Mil 31, nimeingia Bungeni hatuna hata Ndege, unaachaje kumuunga mkono JPM!?”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents