Aisee DSTV!
SwahiliFix

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF, Julius Mtatiro aula u-DC Tunduru

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Magufuli leo Jumapili Julai 14, 2019 amemteua Ndg. Julius S. Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.


Mtatiro anachukua nafasi ya Juma Homera ambaye ameteuliwa kuwa RC wa Katavi.

‪Mnamo tarehe 11 mwezi Agosti mwaka jana, Julius Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF, alijiuzulu nafasi hiyo na kujiunga CCM.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW