Burudani

Allan Mapigo na maproducer katika Miaka 50 ya uhuru

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=XAkZ-4jde8I[/youtube]

Producer kutoka akatika studio ya kutengeneza muziki ya metro, Allam Mapigo Shentee, ameamua kufunguka ukweli juu ya Miaka 50 ya Uhuru na  mwelekeo wa muziki wa Bongo Fleva hususani upande wa Maproducer, huku akiwa husisha wasanii wachache. pia amedokezea kidogo kuhusu malengo yake ifikapo mwakani tutapokuwa tunaanza miaka mingine 50.

Allan_Mapigo__face

Huyu ndiye Producer anayetamba sana kwenye ngoma za bendi kama ngwasuma…

Allan_mapigo_shente

Hebu msikilize Mwenyewe…

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents