Mitindo
Ally Remtullah kupeleka ‘The Enchanted Jungle’ Arusha
Baada ya wapenzi wa masuala ya mitindo wa jijini Dar es Salaam kukongwa nyoyo zao vilivyo na tukio lililoandaliwa kwa umakini na ubunifu mkubwa la The Enchanted Jungle na mbunifu wa kimataifa Ally Remtullah, watu wa Arusha wakae mkao wa kula.
Mbunifu huyo amesema analipeleka tukio hilo jijini Arusha hivi karibuni.
“So its official Ally Rehmtullah 2013 – The Enchanted Jungle is coming to Arusha. Date & Venue to be announced… stay right here – we got too much love for A-TOWN!,” ameandika kupitia Facebook.
The question is: Arusha are you ready for The Enchanted Jungle?