Michezo

Alphonce  Simbu apokewa kifalme  uwanja wa ndege wa JK Nyerere (Picha)

Mshindi wa Medali ya Shaba katika mbio za dunia za London, Alphonce Felix Simbu amewasili nchini akiwa na wanariadha wenzake saba na kupokewa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ,Viongozi wa Jeshi, Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande pamoja na maafisa mbalimbali waandamizi wa Serikali na Vyama vya michezo.

Zifuatazo ni baadhi ya picha zinazoonesha matukio ya hapo uwanja wa ndege katika mapokezi

Mshindi wa Medali ya Shaba katika mbio za dunia za London, Alphonce Felix Simbu(kulia)

Familia ya mwanariadha huyo ikiwa inawasili uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere  

Mama mzazi wa Alphonce Simbu (kushoto) ambaye anaitwa Salome Tandu Mvua (kulia) Baba mzazi anaitwa Felix Simbu

Baadhi ya wageni mbali mbali waliyohudhuria hafla ya kumpokea mwanariadha Alphonce Simbu

Kikundi cha ngoma ya asili kiktumbwiza katika hafla hiyo

Mke wa mwanariadha Alphonce Simbu, (Neema Daudi) akiwa ameshikilia Medali ya Shaba iliyoletwa na Mumewe

Mama mzazi wa Alphonce Simbu (kulia) ambaye anaitwa Salome Tandu Mvua (kushoto) Baba mzazi anaitwa Felix Simbu

 

Wanariadha wakikabidhi bendera ya Taifa kwa Waziri Mwakyembe

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents