Burudani

Amigolas anataji wahisani kutibiwa Moyo

Amigolas_1

MWANAMUZIKI  wa  bendi ya African Stars Twanga Pepeta Amigolas, anasema hivi sasa an asumbuliwa na ugonjwa wa moyo ambao umevimba na kumfanya shughuli zake za msingi asiweze kuzifanya.

 

Mwanamuziki huyo anasema kwa sasa moyo wake umekuwa mkubwa hivyo inahitajika fedha nyingi kwaajili ya kufanyiwa Uperesheni, aweze kuwa /sawa kiafya.

Amesema kwa sasa hivi anashindwa kuzipata kutokana na hali yake ilivyokuwa si nzuri, ila anahitaji kama kutakuwa na wahisani basi wanaweza kujitolea kwaajili ya kupata hudima hiyo iliaweze kuendelea na muziki.

Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa kivutio kikubwa na mkungwe wa bendi hiyo, tangu mwaka 1995 hadi hii leo. anasema ugonjwa huo alianza kuugundua mwaka jana

Amigolas

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents