Burudani

Amini aeleza sababu ya wasanii wakongwe kupotea kwenye muziki (Video)

Msanii wa muziki, Amini amefunguka kueleza kwanini baadhi ya wasanii wakongwe wanaonekana kama hawapewi support na baadhi ya vyombo vya habari. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Amini amewataka wasanii wakongwe kufanya kazi ambazo zitakuwa na sababu ya kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga ili washindane na wasanii wapya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents