Michezo

Amir Khan kuzipiga na Sauli Alvarez

Bondia Amir khan kutoka Uingereza anatarajia kupambana na bondia kutoka Mexico Sauli Alvarez kuwania mkanda wa WBC katika uzito wa kati mnamo mwezi mei saba mjini Las Vegas.

150530122601_amir_khan_boxer_640x360_afp_nocredit
Amir khan

Khan mwenye miaka 29, ambaye ni bingwa wa dunia katika uzito wa welter hajapigana tangu apigwe na Chris Algieri mjini New York mwezi Mei.

Kwa upande wa Alvarez mwenye miaka 25, amewahi kumpiga bondia Miguel Cotto kwa pointi mjini Las Vegas mwezi Novemba.

30D1775C00000578-3428577-image-a-2_1454438028718
Bondia Sauli Alvarez ambaye ndo apambana na Amir khan

Mpaka sasa amepoteza pambano mara moja huku akishinda mara 46 katika mapambano yake

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents