Michezo

Ander Herrera wa Manchester United aitamani Tanzania

Kiungo wa klabu ya soka ya Manchester United, Ander Herrera ameitaja nchi ya Tanzania ni moja kati ya sehemu ambazo hajafika ambazo anatamani siku moja atembelee.

Ijumaa hii mchezaji huyo ambaye ni raia wa Hispania, aliwapa fursa mashabiki kuuliza maswali kupitia mtandao wa Twitter na yeye alikuwa akijibu moja kwa moja kwenye mtandao huo.

Mmoja kati ya mashabiki alimuuliza mchezaji huyo, “Is there someone in the world you would like to visit where you havent been yet?”

Bila ya kutegeme Herrera alijibu kwa kuandika, “Kenya , Tanzania , Colombia , Argentina … I still have to travel a lot.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents