Burudani

Andrew akamilisha albamu ya Injili

AndrewMwanamuziki na mtengenezaji muziki Andrew, kutoka studio ya lounches anatarajia kuachia albamu yake ya muziki wa injili ambayo ameshaikamilisha hivi karibuni ambayo inaitwa Maisha ya Masikitiko.

 

Muandaji huyo wa muziki anasema albamu hiyo itakuwa imesheheni, nyimbo mbalimbali ambazo anamiini ]zitakuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wake wa injili.

Andrew_na_kampani

Producer Andrew akiwa na wasanii wake wakipiga picha ya pamoja wakiwa studio.
Andrew_producer

Andrew akiwa anatengeneza nyimbo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents