Michezo
Andy Murray ashinda Kombe la Wimbeldeon
Mcheza tenisi namba mbili kwa ubora Duniani Andy Murray ameiwakilisha vizuri Uingereza kwa kubeba Kombe la Wimbeldeon.
Murray amemshinda Milos Raonic raia wa Canada kwa seti 6-4, 7-6 (7-3), 7-6 (7-2).