Michezo

Andy Murray kuiongoza Uingereza kwenye Davis Cup

Mcheza tenisi, Andy Murray anayeshika namba mbili ya ubora ulimwenguni anatarajia kuiongoza Uingereza katika mchezo dhidi ya Japan katika mashindano ya Davis Cup ikiwa ni mchezo wa raundi ya kwanza kuweza kushinda mjini Birmingham kuanzia tarehe 4-6 mwezi March.

Andy Murray

Murray mwenye miaka 28 ataungana na Jamie , Kyle Edmund, Dominic Inglot pamoja na Dan Evans. Uingereza ilishinda katika mashindano ya Davis Cup mara ya kwanza mwaka 1936 dhidi ya Ubelgiji.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents