Burudani

Vanessa Mdee aitambulisha ‘Closer’ kwa waandishi wa habari

Well, the new year 2013 has just started, and as expected, umeanza on a good note, kwa mwana dada Vannessa Mdee, ambaye yeye amekuwa the first new female from the block, kwenye tasnia ya muziki hapa nchini kwa mwaka huu, baada ya kutoa wimbo wake mpya unaofahamika kama Closer.

Mwanadada huyu, ambaye alishirikiana na Ommy Dimpoz kwenye wimbo wake wa Me and You mwishoni mwa mwaka jana, amewashangaza wengi kwa kipaji alichokionyesha katika wimbo wake wa Closer.Vanessa ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio cha Choice FM lakini pia anafanya kazi na kituo cha runinga cha MTV, amejipatia umaarufu zaidi baada ya kuwa mtangazaji wa kipindi cha kusaka vipaji cha Epiq Bongo Star Search.

Wimbo huo ambao umetayarishwa na waandaji mahiri wa muziki nchini, Hermy B na Pancho Latino, unamfanya Vanessa kuwa mmoja wa waimbaji wa kike wanaorajiwa kufanya vizuri.Hermy B na Pancho wanasifika kwa kufanya kazi na wanamuziki wakali kama AY, Chidi Benz na Nakaaya.

Wimbo wa Closer ulianza kuandaliwa miaka miwili iliyopita kabla ya Vanessa kuamua kuuachia rasmi wiki mbili zilizopita. Akiuzungumzia wimbo huo, Vanessa anasema ni mchanganyiko wa ‘Afro pop, RnB, Soul na Hip pop’.

Tokea wimbo huo umeachiwa rasmi wiki mbili zilizopita umeshika kwa kasi, kiasi ambacho wengi wanaamini ni mwanzo mzuri kwa mwanadada huyu. Leo asubihi Vanessa alitambulisha rasmi wimbo wake huo wa “closer” kwa waandishi wa habari katika chumba maalum cha VIP ( Hennessy) katika klabu ya usiku, 327.

Katika utambulisho huo Vanessa alisema kwa sasa ndio ameanza rasmi safari yake ya kimuziki baada ya kukaa kwa muda wa takriban miaka mitatu akisoma gemu la muziki wa Tanzania na changamoto zake na hivyo alianza kufanyia kazi sauti yake kuanzia mwaka 2009 wakati akiwa chuo. “nimeanza kufanya muziki chini chini tangu mwaka 2009 kwa kufanya kazi ya kuweka sawa uwezo wangu wa sauti”.

Aliendelea kwa kusema kwa sasa yeye yupo chini ya Label ya B Hits chini ya Producer Hermy B na kwamba kwa sasa mawazo yake yapo katika Video yake ambayo alibainisha kwamba anategemea ku shoot nchini Kenya siku si nyingi kutoka sasa.

Alitumia wasaa huo kutoa mistari ya wimbo huo wa Closer ili watanzania waukariri kwa urahisi. Soma mistari hiyo ama Verse za wimbo huo hapa chini

Verse 1:
Let me ask you a question,
What would it take for me to get your attention.
You’re my kinda guy and I think you’re fly,
You’re shoe game alright, prolly kick it for a while.

I kinda like your style,
But most of all your smile.
I saw you on facebook so I know how your facelook.
Relationship status is single,
Ready to mingle.

Bridge:
Waulize washkaji ninashindwa kunywa maji inakuwa sana kazi, haujui.
Najaribu kuhifadhi chozi langu kama maji inakuwa sana kazi,haujui. x2

Chorus:
I wanna get you closer, closer, closer, closer to me.
Closer, closer, closer ,closer to me x3

Verse 2
So I try to catch your wave,
And look for you at every rave,
It’s almost addictive and slightly submissive,
Not usually how I behave.
I kinda like your style,
But most of all your smile.
I’m done catching feelings it’s time for the dealing,
My heart is now willing, Yeeeeaaah!

Bridge:
Waulize washkaji ninashindwa kunywa maji inakuwa sana kazi, haujui.
Najaribu kuhifadhi chozi langu kama maji inakuwa sana kazi,haujui. x2

Chorus:
I wanna get you closer, closer, closer, closer to me.
Closer, closer, closer, closer to me x3
Baby please come a little closer to me you’re the air I breathe.
Honestly – ay ay ay ay
It‘s been a while I’ve been longing this feeling.
Nataka uwe wangu niishi nawe siku za maisha yangu.
I just wanna wake up every morning to your beautiful kiss,
And get you closer.

Chorus:
I wanna get you closer (Closer baby, into your heart) closer ,closer (I wanna make you feel so good) closer to me.
Closer, Closer (hold you closer, closer to me now) Closer, Closer (Come a little closer ama show you something baby)

Chorus:
Closer I’m talking closer aah
I wanna feel your heartbeat baby.
Closer enough so I can taste u now ah ah ah ah
Closer baby, I wanna have you closer, closer to me

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents