Michezo
Angel Di Maria asajiliwa rasmi PSG ya Ufaransa
Mchezaji wa kimataifa wa Argentina, Angel Di Maria hatimaye amethibitishwa kama mchezaji wa Paris Saint-Germain, PSG ya Ufaransa kutokea Manchester United.
Di Maria ameondoka kwa uhamisho mpya wa pauni milioni 44 akitokea Manchester United.