Angela Lubala ni Miss Temeke 2008

Temeke imefunga pazia la Mkoa wa Dar es Salaam kutafuta wawakilishi wake katika kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2008 kwa kumuibua mtoto anayejiamini kuwa, siyo tu Miss Temeke, bali Miss Tanzania na hata Miss World 2008

Miss Temeke 2008

 

Usiku wa kuamkia leo Temeke imefunga pazia la Mkoa wa Dar es Salaam kutafuta wawakilishi wake katika kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2008 kwa kumuibua mtoto anayejiamini kuwa, siyo tu Miss Temeke, bali Miss Tanzania na hata Miss World 2008. Si mwingine ila ni Miss Angela Lubala, akiwa na wenzake waliomfuata, Florence Josephat na Lona Swai. Picha kwa hisani ya mdau Abdallah Mrisho Salawi

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents