Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Angelina Jolie kuhutubia kongamano nchini Kenya

Muigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, Angelina Jolie atua nchini Kenya na anatarajiwa kuhutubia kongamano la kukabiliana na dhuluma za kingono.

Kongamano hilo limeandaliwa na jeshi la Uingereza la kukabiliana na dhulma za kingono wakati wa mapambano ya kivita.

Angelina Jolie na  Mohamed Affey

Angelina Jolie na Nuur Mohamud Sheekh

Angelina Jolie aliwahi kuwa mke wa muigizaji Brad Pitt ambaye walianza mahusiano mwaka 2004 na kupata watto wanne na wengine wawili wamewaasili.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW