Anna Wilboard Ndiye Miss Kigoma


Jana usiku ilikuwa fainali ya kumpata Miss Kigoma ambapo mshindi wa Jumla alikuwa bibie Anna Wilboard kati kati na mshindo wa pili alikuwa Suzana Gregory na watatu anaitwa Justina.

Shindano la kumpata mrembo huyo lilifanyika katika ukumbi wa kibo Peak na burudani ya usiku huo ilityolewa na msanii Baba Levo.

Shukurani kutoka kwa Mdau wetu Edith Kimaro kwa picha na maelezo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents