Michezo

Anthony Joshua kutetea Ubingwa wake wa Dunia

Bingwa wa Dunia uzito wa juu, Anthony Joshua, huenda akaingia ulingoni mwezi wa Novemba, tayari kutetea ubingwa wake wa Dunia. Katika kuelekea pambano hilo mpaka sasa, tayari kumbi za mpambano huo zimeanza kupendekezwa.


Bingwa wa Dunia uzito wajuu, Anthony Joshua

Joshua ataingia ulingoni kutetea taji lake katika kipindi cha majira ya baridi.

“Kuna uwezekano mkubwa” wa kupambana tena mwezi huu wa November,” Alisema promoter wake, Eddie Hearn, kumbi zilizopendekezwa mpaka sasa ni za Wales, America, China pamoja na Dubai, hii ikiwa ni kwaajili ya kulitetea taji lake la Dunia.


Bingwa wa Dunia uzito wajuu, Anthony Joshua akiwa na Promota wake Eddie Hearn

Bingwa huyo wa WBA na IBF uzito wa juu, ata ufahamisha ulimwengu kama atapigana na Klitschko katika mchezo wa marudiano, baada ya kumshinda katika raundi ya 11 katika uwanja wa Wembley mwezi uliopita.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents