Michezo

Antonio Conte kama akitua Chelsea anakuja na mbadala wa John Terry

Klabu ya Chelsea kama itafanikiwa kumpata kocha, Antonio Conte yu tayari kuja na beki wa kuziba nafasi ya nahodha wa Chelsea, John Terry kwa kufanikisha uhamisho wa staa wa Juventus, Leonardo Bonucci.

1783D818000005DC-0-image-a-15_1457694688753

Kwa mujibu wa mtandao wa Tuttomercatoweb wa Italia, kocha huyo wa kikosi cha Italia, ameliweka nafasi ya juu jina la beki huyo katika orodha ya mastaa anaotazamia kuziba nafasi ya nahodha huyo.

Conte alifanya kazi na Bonucci katika kikosi cha Italia na wakati alipokuwa kocha wa Juventus na wawili hao wana urafiki wa karibu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents