Michezo

Antonio Conte ni Mourinho wa Italia – Vialli

Baada ya timu ya Chelsea kumfikiria, Antonio Conte kuwa kocha wa timu hiyo kuanzia msimu ujao, mchezaji wa zamani wa timu ya Chelsea, Gianluca Vialli amesema Conte atakuwa chaguo sahihi kwa Chelsea.

CONTEmain_2733538a

Vialli ambaye aliwahi kuichezea timu hiyo na baadae kuchaguliwa kuwa kocha wa timu hiyo amesema, Conte ni chaguo sahihi kwa timu hiyo.

“Kwa Italia, wanamuita Mourinho wa Italia. Timu yake inacheza kwa kujiamini sana, inacheza kwa uwezo mkubwa na kujitolea. Nimshindi mzuri, ameshinda mataji matatu mfululizo ya ligi kuu ya Italia, akisaini mkataba na Chelsea nafikiria litakuwa chaguo sahihi,” alisema Vialli.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents