Technology

Apple yapoteza $9bn kwenye hisa baada ya mbunifu wake Ive kutangaza kuondoka na kuanzisha kampuni yake

Kampuni ya Apple imepoteza Tsh 21 Trilioni ($9bn) katika soko la hisa, saa moja baada ya Jony Ive aliyehusika katika ubunifu wa takribani miaka 27 katika bidhaa zote za Apple, kutangaza kuondoka ndani ya kampuni hiyo.

Sir Jonathan Paul “Jony” Ive, ana miaka 27 ndani ya kampuni hiyo na ni Mwingereza, alijiunga na Apple mwaka 1992.

Baada ya miaka kumi ya huduma ya kuunda bidhaa za Apple, Ive alipandishwa cheo kuwa Makamu wa Rais Mkuu wa kubuni bidhaa za Apple.

Ive ameunda iPod, iPhone, iPad, MacBook, na sehemu za interface ya mtumiaji wa Apple, iOS.

Kwa sasa ametangaza kufungua kampuni yake ya ubunifu, ambayo Apple itakuwa mteja wake.
<div class=”pagebody-copy”>“Jony is a singular figure in the design world and his role in Apple’s revival cannot be overstated, from 1998’s groundbreaking iMac to the iPhone and the unprecedented ambition of Apple Park, where recently he has been putting so much of his energy and care,” said Tim Cook, Apple’s CEO. “Apple will continue to benefit from Jony’s talents by working directly with him on exclusive projects, and through the ongoing work of the brilliant and passionate design team he has built. After so many years working closely together, I’m happy that our relationship continues to evolve and I look forward to working with Jony long into the future.”</div>

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents