Tupo Nawe

Fools’ Day: Avril yamtokea puani baada ya kusema ni mjamzito, mashabiki wauliza ‘ni ya Diamond?’

Kama unataka kuwashika watu kwenye siku ya wajinga duniani, inabidi ufikirie kitu ambacho si rahisi kushtukiwa mapema. Ama ili staa awashike mashabiki wake anatakiwa kuwakatama kwa jambo ambalo hawakuwa wanalitegemea. Mrembo Avril Nyambura wa Kenya ameitumia siku hii kuwashtua mashabiki wake kwa habari ambayo haikuwa mawazo mwaoni, ujauzito. Lakini….

avril 2

“On my fourth month of pregnancy…am glad the first trimester has gone well n morning sickness is reducing..happy days ahead :-D..,” ametweet.

Ingawa wengi wametambua kirahisi kuwa ni issue ya wajinga, kuna wale walioamini habari hiyo.

Baadaye alitweet: Okay it’s 12..waa nice to know that guys would be so ‘happy’ for me when I become a mummy hehehe. #AprilFools” Lol.. Good one.

Hata hivyo si kila shabiki ameipokea habari hiyo kwa utani. Hizi ni meseji za kejeli kutoka kwa mashabiki wake.

Belinda Atieno hehee even lesbians get pregnant lolol !

Qelvin Weel Wood Kwani ma finga zako zina mwaga skuizi.

Kalil Omanyo Jakodongo hahaha…..u mean lesbians get pregnant n they only reveal it on foolsday,who z the father i….mean……th mother??

Atm Diana Ni ya DIAMOND,G-KON ama JALANG’O?who is the father among the three we want to know…

Rollyne Pinky Sidhani ka Diamond anaeza fanya hivo cz ye anataka 2 kulewa

Hata hivyo Avri amepuuza kwa kuandika: Hahahahahahaha waa si kuna watu wana matusi ngaaaiiiiiiii hahahaha.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW